JE WAJUA HII KISUKARI HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

KISUKARI
Ni ugonjwa sugu wa kuwepo kwa sukuri kwenye damu ambapo husababishwa na kupungua, kuzuiwa au kutokuwepo kwa insulin kwenye damu.

KUNA AINA 2 ZA KISUKARI
1.kisukari
2.kisukari

KISUKARI 1
Ni kisukari ambacho hutokea kwa watoto ambao wamezaliwa nacho.

KISUKARI 2
Ni kisuri kinachotokea kwa mtu mzima wakati kunapotokea kizuizi Cha insulin kwenye cell au kongosho linaposhindwa kuzalisha insulin ya kutasha.
Insulin ni homon ambayo huzalishwa na kongosho., kongosho humwaga insulin kwenye damu,. insulin ndio inayo ruhusu SUKARI kuingia kwenye cell.
Kwa kufanya hivyo insulini inapunguza SUKARI kwenye damu.

SUKARI--Ni chanzo kizuri Cha kutupatia nguvu kupatia cell ambazo ndizo zinazo unda misuli na tissue.

VYANZO VYA KISUKARI

1.Chakula
2.inni
Inni Lina chukua kiwango  Cha SUKARI iliyo tunzwa
Na kuifanya ifanye kazi

CHANZO CHA SUKARI NO.2
1.Uzito kuzidi kiasi

2.kuzidi kwa mafuta mabaya mwilini

3.kitokufanya mazoezi

4.umri

5.kuondolewa kwa kongosho.

MADHARA YATOKANAYO NA KISUKARI KAMA  ASIPO TIBIWA VIZURI

1.Ungonjwa wa moyo

2.Figo kushindwa
 kufanya kazi

3.kutokuona

4.kukosa nguvu za kiume

5.kutokusikia vizuri nk.

NAMNA YA KUMSAIDIA MTU MWENYE KISUKARI
KWA KUTUMIA NJIA ASILI ZILIZO HAKISHWA NA HAZINA KEMIKALI

SUPPRIMEN
1.ALOEVERA GEL

   Hii husaidia kuondoa mwili taka na kushusha sukuri
Na kufanya vizuri mmeng'enyo wa chakula

2.FIELDS OF GREENS
Hii husaidia kusha SUKARI
Na kuongeza vitamin mwilini

3.MULTI---MACA
Hii husaidia kuongeza nguvu za kiume
Na kushusha sukuri mwilini
Pia huzuia kupata TEZIDUME.

Kula kwa kuzingatia group la damu
Hasa kula chakula kinacho saidia kupunguza SUKARI kwenye damu
Mfn--matunda
        ---mboga za majani
       -----nyakula vya             mbengu
Maharage
Njegele
Karanga.nk

3.KUPUNGUZA UZITO
   Tumia C9


4.KUFANYA MAZOEZI


5.KUENDELEA KUTUMIA
   Dawa za hospital Kama
   Alikuwa ameshaanza
   Mama hapo SUKARI
    Itakapokoma kupanda
     Normal 3-----5g/dl.

Kwa mawasiliano zaidi: +255 759 044942
Instagram@dr_katole
Facebook Page: Yangibona Katole
Location: Dar es salaam, Tanzani




Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

HISTORIA YA MAISHA YA MSANII WA BONGO FLEVA HARMONIZE.

MSANII MPYA WA HARMONIZE ATAMBULISHWA LEO, KONDE MUSIC WORLDWIDE