Posts

Showing posts from January, 2022

WANYAMA WATANO WAKUBWA MBUGANI

Image
FAHAMU UNDANI WA WANYAMA WAKUBWA WATANO PORINI Bara la Afrika ndio bara pekee duniani liloweza kubarikiwa kuwa na wanyama wa tano wakubwa wa porini. Wanyama hawa hawakuchanguliwa kwakuangalia ukubwa wa miili yao ila nikutokana ugumu wa kuwindwa na pia ndio wanyama hatari na wenye hasira kali kuliko wote. Wanyama hao ni pamoja na Tembo, Faru, Nyati , Simba na Chui. Nchi pekee barani Afrika ambazo wanyama hawa wakubwa wa tano hupatikana ni pamoja na nchi ya Tanzania, Botswana, Zambia, Uganda, Namibia, Ethiopia, Afrika ya Kusini, Kenya, Zimbambwe, Kongo, na Malawi. Tembo Tembo ndio mamalia mkubwa kuliko wote dunia, huwa na ngozi isiyona na vinyoleo, meno marefu na yaliotokeza kwe nje. Kuna spishi mbili za tembo moja ni tembo wapatikanao katika misitu na pia tembo wapatikanao katika vichaka. Tembo huishi katika familia ya makundi isiyo pungua tembo mia moja huku kiongozi wa familia akiwa ni tembo jike. Faru Faru ni mamalia wa pili kwa ukubwa baada ya tembo, huku kukiwa na spishi mbili za f...