Harmonize (kwa jina lake halisi Rajab Abdul Kahali ; mara kadhaa hujiita "Konde Boy"; amezaliwa Chitoholi , mkoa wa Mtwara , 15 Aprili 1994) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki kutoka Tanzania . Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza " Aiyola " (2015), Bado (2016), Matatizo ( 2016) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya WCB (Wasafi Classic Baby) ambaye ni Diamond Platnumz . Aliamua kuhama WCB na kuanzisha lebo yake Konde Music Worldwide [1] . Kwa ngwaru ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya Afrika ya Mashariki akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya Tanzania ambaye anaitwa burna na diamond Platnumz alikuwepo kwenye huo wimbo. Sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho Never Give Up, wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana. Harmonize anasimamiwa na Joel Joseph au kwa jina lingine Mr Puaz. Kwa sasa msanii huyu yuko peke yake baada ya ku...
Harmonize amsainisha Ibraah kama msanii wa kwanza Konde Gang Msanii chipukizi, Ibraah Tz ameandika historia kama msanii wa kwanza kusajiliwa katika record Label ya Muziki ya Konde Music Worldwide, iliyo chini ya msanii Harmonize. kupitia mitandao yake ya kijamii, Konde Boy IG amethibitisha kuwa Ibraah sasa ni msanii rasmi wa Konde Gang. Harmonize alishukuru uongozi wa Konde Gang kwa kuahidi kuendelea kujinyima ili Ibraah aweze kutimiza ndoto zake. Konde Boy pia alimmiminia Ibraah sifa tele huku akihakikishia mashabiki wake kuwa, siku yenye atastaafu mambo ya usanii, ana Imani msanii huyo mpya ataendeleza kazi yake. “Naweza sema bila shaka hata ikitokea siku siimbi muziki tena naamini Ibraah ni mtu ambaye anaweza fanya kila ninacho fanya .” Alisema Harmonize. Msanii huyo wa zamani wa Wasafi Classic, alitangaza usajili wa Ibraah siku moja tu baada ya Diamond kutangaza kumsajili zuChu, ambaye ni mwanawe Khadija Kopa. Hivi basi yatakuwa mashindano kati ya label hizi mbili na ...
KISUKARI Ni ugonjwa sugu wa kuwepo kwa sukuri kwenye damu ambapo husababishwa na kupungua, kuzuiwa au kutokuwepo kwa insulin kwenye damu. KUNA AINA 2 ZA KISUKARI 1.kisukari 2.kisukari KISUKARI 1 Ni kisukari ambacho hutokea kwa watoto ambao wamezaliwa nacho. KISUKARI 2 Ni kisuri kinachotokea kwa mtu mzima wakati kunapotokea kizuizi Cha insulin kwenye cell au kongosho linaposhindwa kuzalisha insulin ya kutasha. Insulin ni homon ambayo huzalishwa na kongosho., kongosho humwaga insulin kwenye damu,. insulin ndio inayo ruhusu SUKARI kuingia kwenye cell. Kwa kufanya hivyo insulini inapunguza SUKARI kwenye damu. SUKARI--Ni chanzo kizuri Cha kutupatia nguvu kupatia cell ambazo ndizo zinazo unda misuli na tissue. VYANZO VYA KISUKARI 1.Chakula 2.inni Inni Lina chukua kiwango Cha SUKARI iliyo tunzwa Na kuifanya ifanye kazi CHANZO CHA SUKARI NO.2 1.Uzito kuzidi kiasi 2.kuzidi kwa mafuta mabaya mwilini 3.kitokufanya mazoezi 4.umri 5.kuondolewa kwa kongosho. M...
Comments
Post a Comment