Posts

Showing posts from April, 2020

TOP TEN PARKS IN TANZANIA NATIONAL PARKS

Image
Stalk the stalker, watch it pounce upon its prey, see millions of animals crossing a river, track gorillas, live in the wild and discover unusual species while you’re at it. A wildlife safari is one of the biggest charms of any African adventure and Tanzania is perhaps the best country for a journey into the wild. Tanzania’s national parks are designed to suit all kinds of interests, preferences and comfort levels, and you can be rest assured that there is a safari which is perfect for you. But before you embark on your safari adventure, you need to make one of the biggest decisions – which park to visit and which park to leave out. Serengeti or Ngorongoro feel like the most obvious places to be, but it is equally possible that you have a much better time in one of the lesser-known parks. Bookmundi recommends you to ask yourself the following questions as they should help you zero in on the best national park in Tanzania. Below we are listing highlights , lowlights , and facts abou...

COVID-19 UPDATES: DELEVERY GOOD NEWS TO TANZANIANS

Image
COVID-19 Update: PM Majaliwa Delivers Good News To Tanzanians opera.com Apr 22, 2020 1:21 PM Below is a photo of the Tanzanians President John Pombe Magufuli. Prime Minister of Tanzania, Kassim Majaliwa today on 22nd April 2020,speaking at the national prayers at the Karimjee Grounds has given Tanzanian citizens the up to date of the pandemic corona virus cases. He delivers Good news to the Tanzanians reporting NO death case since the last brief made by Ummy Mwalimu who reported 84 confirmed cases and 3 deaths as on Monday 20th April 2020. Good news to Tanzania that today the number of confirmed cases is almost a third of those reported on Monday. This brings down the panic Tanzanians had and brings hope that no day is coming that they will report more than their previous record of high corona cases in one day in East Africa of 84 cases. Today,Prime Minister Kassim Majaliwa,reports cases to have risen by 30 cases totalling the total number of the confir...

MSANII MPYA WA HARMONIZE ATAMBULISHWA LEO, KONDE MUSIC WORLDWIDE

Image
Harmonize amsainisha Ibraah kama msanii wa kwanza Konde Gang Msanii chipukizi, Ibraah Tz ameandika historia kama msanii wa kwanza kusajiliwa katika record Label ya Muziki ya Konde Music Worldwide, iliyo chini ya msanii Harmonize. kupitia mitandao yake ya kijamii, Konde Boy IG amethibitisha kuwa Ibraah sasa ni msanii rasmi wa Konde Gang. Harmonize alishukuru uongozi wa Konde Gang kwa kuahidi kuendelea kujinyima ili Ibraah aweze kutimiza ndoto zake. Konde Boy pia alimmiminia Ibraah sifa tele huku akihakikishia mashabiki wake kuwa, siku yenye atastaafu mambo ya usanii, ana Imani msanii huyo mpya ataendeleza kazi yake. “Naweza sema bila shaka hata ikitokea siku siimbi muziki tena naamini Ibraah ni mtu ambaye anaweza fanya kila ninacho fanya .” Alisema Harmonize. Msanii huyo wa zamani wa Wasafi Classic, alitangaza usajili wa Ibraah siku moja tu baada ya Diamond kutangaza kumsajili zuChu, ambaye ni mwanawe Khadija Kopa. Hivi basi yatakuwa mashindano kati ya label hizi mbili na ...

MIKUMI FOURTH LARGEST NATIONAL PARK

Image
Mikumi National Park Mikumi is Tanzania’s fourth-largest national park. It’s also the most accessible from Dar es Salaam. With almost guaranteed wildlife sightings, it makes an ideal safari destination for those without much time. Since the completion of the paved road connecting the park gate with Dar es Salaam, Mikumi National Park has been slated to become a hotspot for tourism in Tanzania. Located between the Uluguru Mountains and the Lumango range, Mikumi is the fourth largest national park in Tanzania and only a few hours drive from Tanzania’s largest city. The park has a wide variety of wildlife that can be easy spotted and also well acclimatized to game viewing. Its proximity to Dar es Salaam and the amount of wildlife that live within its borders makes Mikumi National Park a popular option for weekend visitors from the city, or for business visitors who don’t have to spend a long time on an extended safari itinerary. ...

JE WAJUA HII KISUKARI HUSABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Image
KISUKARI Ni ugonjwa sugu wa kuwepo kwa sukuri kwenye damu ambapo husababishwa na kupungua, kuzuiwa au kutokuwepo kwa insulin kwenye damu. KUNA AINA 2 ZA KISUKARI 1.kisukari 2.kisukari KISUKARI 1 Ni kisukari ambacho hutokea kwa watoto ambao wamezaliwa nacho. KISUKARI 2 Ni kisuri kinachotokea kwa mtu mzima wakati kunapotokea kizuizi Cha insulin kwenye cell au kongosho linaposhindwa kuzalisha insulin ya kutasha. Insulin ni homon ambayo huzalishwa na kongosho., kongosho humwaga insulin kwenye damu,. insulin ndio inayo ruhusu SUKARI kuingia kwenye cell. Kwa kufanya hivyo insulini inapunguza SUKARI kwenye damu. SUKARI--Ni chanzo kizuri Cha kutupatia nguvu kupatia cell ambazo ndizo zinazo unda misuli na tissue. VYANZO VYA KISUKARI 1.Chakula 2.inni Inni Lina chukua kiwango  Cha SUKARI iliyo tunzwa Na kuifanya ifanye kazi CHANZO CHA SUKARI NO.2 1.Uzito kuzidi kiasi 2.kuzidi kwa mafuta mabaya mwilini 3.kitokufanya mazoezi 4.umri 5.kuondolewa kwa kongosho. M...

HISTORIA YA MAISHA YA MSANII WA BONGO FLEVA HARMONIZE.

Image
Harmonize (kwa jina lake halisi Rajab Abdul Kahali ; mara kadhaa hujiita "Konde Boy"; amezaliwa Chitoholi , mkoa wa Mtwara , 15 Aprili 1994) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki kutoka Tanzania . Alianza kuvuma kwa kibao chake cha kwanza " Aiyola " (2015), Bado (2016), Matatizo ( 2016) na baadaye akatoa nyimbo na msanii mwenzie kutoka lebo moja ya WCB (Wasafi Classic Baby) ambaye ni Diamond Platnumz . Aliamua kuhama WCB na kuanzisha lebo yake Konde Music Worldwide [1] . Kwa ngwaru ni wimbo ambao ulibamba karibia maeneo yote ya Afrika ya Mashariki akatoa kibao kingine kiitwacho inama nyimbo ambayo aliimba na msanii kutoka nje ya Tanzania ambaye anaitwa burna na diamond Platnumz alikuwepo kwenye huo wimbo. Sasa hivi anatamba na kibao kiitwacho Never Give Up, wimbo ambao unaelezea historia ya maisha yake kuanzia alivyo kuwa na maisha magumu sana. Harmonize anasimamiwa na Joel Joseph au kwa jina lingine Mr Puaz. Kwa sasa msanii huyu yuko peke yake baada ya ku...